1 Samuel 20:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, kesho kutwa, watu watakukosa kabisa. Siku hiyo nenda mahali ambapo ulijificha wakati jambo hili lilipokuwa bado motomoto, ukajifiche nyuma ya rundo la mawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho kutwa, inapokaribia jioni, nenda mahali pale ulipojificha wakati tatizo hili lilipoanza na usubiri karibu na jiwe la Ezeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe ukiisha kungoja siku tatu, shuka upesi ufike kuko huko ulikojificha, siku ya shughuli ile; nawe kaa karibu na kile kichuguu kule.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, kesho kutwa, watu watakukosa kabisa. Siku hiyo nenda mahali ambapo ulijificha wakati jambo hili lilipokuwa bado motomoto, ukajifiche nyuma ya rundo la mawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kesho kutwa, inapokaribia jioni, nenda mahali pale ulipojificha wakati tatizo hili lilipoanza na usubiri karibu na jiwe la Ezeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho kutwa, inapokaribia jioni, nenda mahali pale ulipojificha wakati tatizo hili lilipoanza na usubiri karibu na jiwe la Ezeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe ukingoja siku tatu, shuka upesi ufike huko huko ulikojificha, siku ya shughuli ile; nawe kaa karibu na kile kichuguu kule.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, kesho kutwa, watu watakukosa kabisa. Siku hiyo nenda mahali ambapo ulijificha wakati jambo hili lilipokuwa bado motomoto, ukajifiche nyuma ya rundo la mawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho kutwa sharti ushuke kabisa kuja mahali pale, ulipojificha siku ile, tulipoanza shauri, ukae hapo kando ya jiwe la Ezeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe ukiisha kungoja siku tatu, shuka upesi ufike kuko huko ulikojificha, siku ya shughuli ile; nawe kaa karibu na kile kichuguu kule.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, kesho kutwa, watu watakukosa kabisa. Siku hiyo uende pahali ambapo ulijificha wakati jambo hili lilipokuwa lingali motomoto, ujifiche nyuma ya lundo la mawe.