1 Samuel 20:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nikimwambia, ‘Tazama, mishale iko mbele yako,’ hapo, ondoka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu atakuwa anataka uende mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nikimwambia huyo mvulana, ‘Angalia, mishale iko mbele yako,’ basi inakupasa uondoke, kwa sababu Mwenyezi Mungu amekuruhusu uende zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali nikimwambia yule mtoto, Tazama, mishale iko huko mbele yako; basi enenda zako, kwa maana Bwana amekuamuru uende zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nikimwambia, ‘Tazama, mishale iko mbele yako,’ hapo, ondoka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu atakuwa anataka uende mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama nikimwambia huyo mvulana, ‘Angalia, mishale iko mbele yako,’ basi inakupasa uondoke, kwa sababu BWANA amekuruhusu uende zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama nikimwambia huyo mvulana, ‘Angalia, mishale iko mbele yako,’ basi inakupasa uondoke, kwa sababu bwana amekuruhusu uende zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali nikimwambia yule mtoto, Tazama, mishale iko huko mbele yako; basi nenda zako, kwa maana BWANA amekuamuru uende zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nikimwambia, ‘Tazama, mishale iko mbele yako,’ hapo, ondoka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu atakuwa anataka uende mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama nitamwitia yule kijana kwamba: Tazama, mishale iko mbele yako! basi, jiendee! Kwani Bwana amekutuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali nikimwambia yule mtoto, Tazama, mishale iko huko mbele yako; basi enenda zako, kwa maana BWANA amekuamuru uende zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nikimwambia ‘Angalia, mishale iko mbele yako’, kwa hiyo, ondoka. Yawe atakuwa anataka uende mbali.