1 Samuel 20:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulingana na ahadi tulizowekeana, Mwenyezi-Mungu atakuwa shahidi kati yetu milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu yale tuliyozungumza wewe na mimi: kumbuka, Mwenyezi Mungu ndiye shahidi kati yako wewe na mimi milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa habari ya neno lile tulilonena, wewe na mimi, angalia Bwana yu kati ya wewe na mimi milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulingana na ahadi tulizowekeana, Mwenyezi-Mungu atakuwa shahidi kati yetu milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu yale tuliyozungumza wewe na mimi: kumbuka, BWANA ndiye shahidi kati yako wewe na mimi milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu yale tuliyozungumza wewe na mimi: kumbuka, bwana ndiye shahidi kati yako wewe na mimi milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa habari ya neno lile tulilonena, wewe na mimi, angalia BWANA yu kati ya wewe na mimi milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulingana na ahadi tulizowekeana, Mwenyezi-Mungu atakuwa shahidi kati yetu milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili, tulilolisemezana mimi na wewe, tazama, Bwana ni shahidi wangu na wako kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa habari ya neno lile tulilonena, wewe na mimi, angalia BWANA yu kati ya wewe na mimi milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulingana na ahadi tulizowekeana, Yawe atakuwa mushuhuda kati yetu milele.”