1 Samuel 20:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Daudi akajificha shambani. Wakati wa sherehe za mwezi mwandamo, mfalme Shauli akaketi mezani kula.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Daudi akajificha shambani, na sikukuu ya Mwezi Mwandamo ilipowadia, mfalme akaketi ili ale.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akajificha shambani; na mwezi ulipoandama, mfalme aliketi kula chakula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Daudi akajificha shambani. Wakati wa sherehe za mwezi mwandamo, mfalme Shauli akaketi mezani kula.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Daudi akajificha shambani, na sikukuu ya Mwezi Mwandamo ilipowadia, mfalme akaketi ili ale.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Daudi akajificha shambani, na sikukuu ya Mwezi Mwandamo ilipowadia, mfalme akaketi ili ale.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akajificha shambani; na mwezi ulipoandama, mfalme aliketi kula chakula.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Daudi akajificha shambani. Wakati wa sherehe za mwezi mwandamo, mfalme Shauli akaketi mezani kula.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akajificha shambani. Siku ya mwandamo wa mwezi ilipotimia, mfalme akajikalisha penye chakula, ale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akajificha shambani; na mwezi ulipoandama, mfalme aliketi kula chakula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Daudi akajificha katika shamba. Wakati wa sikukuu ya mwandamo wa mwezi, mufalme Saulo akaikaa kwenye meza kwa kula.