1 Samuel 20:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonathani akamjibu, “Alinisihi sana nimruhusu aende Bethlehemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yonathani akamjibu, “Daudi alinisihi sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yonathani akamjibu Sauli, Daudi alitaka sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonathani akamjibu, “Alinisihi sana nimruhusu aende Bethlehemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yonathani akamjibu, “Daudi alinisihi sana nimpe ruhusa ya kwenda Bethlehemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yonathani akamjibu, “Daudi alinisihi sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yonathani akamjibu Sauli, Daudi alitaka sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonathani akamjibu, “Alinisihi sana nimruhusu aende Bethlehemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yonatani akamjibu Sauli: Dawidi ameomba ruhusa kwangu kwenda Beti-Lehemu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yonathani akamjibu Sauli, Daudi alitaka sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonatani akamujibu: “Alinisihi sana nimuruhusu aende Betelehemu.