1 Samuel 20:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonathani akamjibu, “Kwa nini auawe? Amefanya nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yonathani akamuuliza baba yake, “Kwa nini auawe? Kwani amefanya nini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yonathani akamjibu Sauli, baba yake, akamwambia, Auawe kwa sababu gani? Amefanya nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonathani akamjibu, “Kwa nini auawe? Amefanya nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yonathani akamwuliza baba yake, “Kwa nini auawe? Kwani amefanya nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yonathani akamuuliza baba yake, “Kwa nini auawe? Kwani amefanya nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yonathani akamjibu Sauli, baba yake, akamwambia, Auawe kwa sababu gani? Amefanya nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonathani akamjibu, “Kwa nini auawe? Amefanya nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yonatani akamjibu baba yake Sauli akimwuliza: Auawe kwa sababu gani? Amefanya nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yonathani akamjibu Sauli, baba yake, akamwambia, Auawe kwa sababu gani? Amefanya nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonatani akamujibu: “Kwa nini auawe? Amefanya nini?”