1 Samuel 20:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipofika huko alimwambia yule kijana wake, “Kimbia ukaitafute mishale ambayo nitapiga.” Yule kijana alipokuwa anakimbia, Yonathani akapiga mshale mbele yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye Yonathani akamwambia yule mvulana, “Kimbia ukatafute mishale nitakayorusha.” Mvulana alipokuwa akikimbia, akarusha mishale mbele yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia mtoto wake, Piga mbio, ukaitafute mishale niipigayo. Na yule mtoto alipokuwa akipiga mbio, akapiga mshale, ukapita juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipofika huko alimwambia yule kijana wake, “Kimbia ukaitafute mishale ambayo nitapiga.” Yule kijana alipokuwa anakimbia, Yonathani akapiga mshale mbele yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye Yonathani akamwambia yule mvulana, “Kimbia ukatafute mishale nitakayorusha.” Mvulana alipokuwa akikimbia, akarusha mishale mbele yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye Yonathani akamwambia yule mvulana, “Kimbia ukatafute mishale nitakayorusha.” Mvulana alipokuwa akikimbia, akarusha mishale mbele yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia mtoto wake, Piga mbio, ukaitafute mishale niipigayo. Na yule mtoto alipokuwa akipiga mbio, akapiga mshale, ukapita juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipofika huko alimwambia yule kijana wake, “Kimbia ukaitafute mishale ambayo nitapiga.” Yule kijana alipokuwa anakimbia, Yonathani akapiga mshale mbele yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia mtoto: Upige mbio kuitafuta mishale, nitakayoipiga. Mtoto alipopiga mbio, yeye akapiga mshale na kupita hapo, alipo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia mtoto wake, Piga mbio, ukaitafute mishale niipigayo. Na yule mtoto alipokuwa akipiga mbio, akapiga mshale, ukapita juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipofika kule alimwambia yule kijana wake: “Kimbia uitafute mishale ambayo nitapiga.” Yule kijana alipokuwa anakimbia Yonatani akapiga mushale mbele yake.