1 Samuel 20:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fanya haraka na usisimame tu mahali hapo.” Yule kijana alikusanya mishale na kumwendea bwana wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yonathani akampigia kelele, “Harakisha, nenda haraka! Usisimame!” Mvulana akaokota mshale na kurudi kwa bwana wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yonathani akampigia mtoto kelele, Haya! Hima! Usikawie. Mtoto wa Yonathani akaikusanya mishale, akaenda kwa bwana wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fanya haraka na usisimame tu mahali hapo.” Yule kijana alikusanya mishale na kumwendea bwana wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yonathani akampigia kelele, “Harakisha, nenda haraka! Usisimame!” Mvulana akaokota mshale na kurudi kwa bwana wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yonathani akampigia kelele, “Harakisha, nenda haraka! Usisimame!” Mvulana akaokota mshale na kurudi kwa bwana wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yonathani akampigia mtoto kelele, Haya! Hima! Usikawie. Mtoto wa Yonathani akaikusanya mishale, akaenda kwa bwana wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fanya haraka na usisimame tu mahali hapo.” Yule kijana alikusanya mishale na kumwendea bwana wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yonatani akamwitia mtoto kwamba: Kaza mwendo upesiupesi, usisimame! Mtoto wa Yonatani alipokwisha kuiokota mishale akaja kwa bwana wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yonathani akampigia mtoto kelele, Haya! Hima! Usikawie. Mtoto wa Yonathani akaikusanya mishale, akaenda kwa bwana wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Fanya haraka na usisimame tu pahali pale.” Yule kijana alikusanya mishale na kumwendea bwana wake.