1 Samuel 20:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yule kijana hakujua chochote juu ya maana ya kitendo hicho. Waliojua ni Yonathani na Daudi tu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Mvulana hakujua chochote kuhusu hayo yote; Yonathani na Daudi tu ndio waliojua.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yule mtoto hakujua lo lote. Yonathani na Daudi ndio walioijua habari yenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yule kijana hakujua chochote juu ya maana ya kitendo hicho. Waliojua ni Yonathani na Daudi tu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Mvulana hakujua cho chote juu ya hayo yote; Yonathani na Daudi tu ndio waliojua.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Mvulana hakujua chochote juu ya hayo yote; Yonathani na Daudi tu ndio waliojua.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yule mtoto hakujua lolote. Yonathani na Daudi ndio walioijua habari yenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yule kijana hakujua chochote juu ya maana ya kitendo hicho. Waliojua ni Yonathani na Daudi tu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtoto hakujua maana, ni Yonatani na Dawidi tu waliolijua hilo jambo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yule mtoto hakujua lo lote. Yonathani na Daudi ndio walioijua habari yenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yule kijana hakujua kitu chochote juu ya maana ya kitendo hicho. Waliojua ni Yonatani na Daudi tu.