1 Samuel 20:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonathani akamwambia, “Lolote utakalosema nitakutendea.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yonathani akamwambia Daudi, “Chochote unachotaka nifanye, nitakufanyia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yonathani akamwambia Daudi, Kadiri roho yako itakavyo, nitakutendea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonathani akamwambia, “Lolote utakalosema nitakutendea.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yonathani akamwambia Daudi, “Cho chote unachotaka nifanye, nitakufanyia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yonathani akamwambia Daudi, “Chochote unachotaka nifanye, nitakufanyia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yonathani akamwambia Daudi, Kadiri roho yako itakavyo, nitakutendea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonathani akamwambia, “Lolote utakalosema nitakutendea.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yonatani akamwambia Dawidi: Mwenyewe utakayoniambia, nitakufanyizia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yonathani akamwambia Daudi, Kadiri roho yako itakavyo, nitakutendea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonatani akamwambia: “Neno lolote utakalosema nitakutendea nalo.”