1 Samuel 20:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonathani akamkabidhi yule kijana silaha zake na kumwambia “Nenda urudi mjini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yonathani akampa yule mvulana silaha zake na kumwambia, “Nenda, zirudishe mjini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yonathani akampa mtoto silaha zake, akamwambia, Nenda, ukazichukue mjini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonathani akamkabidhi yule kijana silaha zake na kumwambia “Nenda urudi mjini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yonathani akampa yule mvulana silaha zake na kumwambia, “Nenda, zirudishe mjini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yonathani akampa yule mvulana silaha zake na kumwambia, “Nenda, zirudishe mjini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yonathani akampa mtoto silaha zake, akamwambia, Nenda, ukazichukue mjini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonathani akamkabidhi yule kijana silaha zake na kumwambia “Nenda urudi mjini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yonatani akampa huyu mtoto aliyekuwa naye mata yake, akamwambia: Nenda, uyapeleke mjini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yonathani akampa mtoto silaha zake, akamwambia, Nenda, ukazichukue mjini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonatani akamupatia yule kijana silaha zake na kumwambia: “Kwenda urudi katika muji.”