1 Samuel 21:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo, Daudi alimkimbia Shauli, akaenda kwa mfalme Akishi wa Gathi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ile Daudi akamkimbia Sauli na kwenda kwa Akishi mfalme wa Gathi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akaondoka, akakimbia siku ile, kwa hofu ya Sauli, akamwendea Akishi, mfalme wa Gathi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo, Daudi alimkimbia Shauli, akaenda kwa mfalme Akishi wa Gathi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ile Daudi akamkimbia Sauli na kwenda kwa Akishi mfalme wa Gathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ile Daudi akamkimbia Sauli na kwenda kwa Akishi mfalme wa Gathi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akaondoka, akakimbia siku ile, kwa hofu ya Sauli, akamwendea Akishi, mfalme wa Gathi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo, Daudi alimkimbia Shauli, akaenda kwa mfalme Akishi wa Gathi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akaondoka, akamkimbia Sauli siku hiyo, akaja kwa Akisi, mfalme wa Gati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akaondoka, akakimbia siku ile, kwa hofu ya Sauli, akamwendea Akishi, mfalme wa Gathi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahimeleki akamujibu: “Upanga wa Goliati Mufilistini uliyemwua kwenye bonde la Ela uko nyuma ya efodi, unafungwa katika kitambaa. Ikiwa unataka kuukamata basi, uukamate maana hakuna upanga mwingine hapa.” Daudi akamwambia: “Hakuna upanga mwingine kama huo; unipe.”