1 Samuel 21:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, nawahitaji wendawazimu zaidi? Kwa nini mnaniletea mwendawazimu aje kunisumbua na vitendo vya wendawazimu? Je, mtu huyu ataingia nyumbani kwangu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mimi nimepungukiwa na wenda wazimu kiasi kwamba mmeniletea mtu huyo hapa aendelee kufanya hivi mbele yangu? Je, ilikuwa ni lazima mtu huyo aje nyumbani mwangu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mimi nina haja ya watu wenye wazimu, hata mmemleta kiumbe hiki ili aonyeshe wazimu wake machoni pangu? Je! Huyu ataingia nyumbani mwangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, nawahitaji wendawazimu zaidi? Kwa nini mnaniletea mwendawazimu aje kunisumbua na vitendo vya wendawazimu? Je, mtu huyu ataingia nyumbani kwangu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mimi nimepungukiwa na wenda wazimu kiasi kwamba mmeniletea mtu huyo hapa aendelee kufanya hivi mbele yangu? Je, ilikuwa ni lazima mtu huyo aje nyumbani kwangu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mimi nimepungukiwa na wenda wazimu kiasi kwamba mmeniletea mtu huyo hapa aendelee kufanya hivi mbele yangu? Je, ilikuwa ni lazima mtu huyo aje nyumbani kwangu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mimi nina haja ya watu wenye wazimu, hata mmemleta kiumbe huyu ili aonyeshe wazimu wake machoni pangu? Je! Huyu ataingia nyumbani mwangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, nawahitaji wendawazimu zaidi? Kwa nini mnaniletea mwendawazimu aje kunisumbua na vitendo vya wendawazimu? Je, mtu huyu ataingia nyumbani kwangu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mimi nimekosa wenye kichaa, mkimleta huyu, anitolee wazimu wake? Ananijiliaje nyumbani mwangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mimi nina haja ya watu wenye wazimu, hata mmemleta kiumbe hiki ili aonyeshe wazimu wake machoni pangu? Je! Huyu ataingia nyumbani mwangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akisi akawaambia watumishi wake: “Munajua kwamba mutu huyu ni mwenda-wazimu. Kwa nini mumemuleta kwangu?