1 Samuel 22:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahimeleki alimwombea Daudi kwa Mwenyezi-Mungu, akampa chakula na upanga wa yule Mfilisti Goliathi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahimeleki akamuuliza Mwenyezi Mungu kwa ajili yake; pia akampa vyakula na ule upanga wa Goliathi Mfilisti.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamwuliza Bwana kwa ajili yake, akampa vyakula, akampa na ule upanga wa Goliathi, Mfilisti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahimeleki alimwombea Daudi kwa Mwenyezi-Mungu, akampa chakula na upanga wa yule Mfilisti Goliathi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahimeleki akamwuliza BWANA kwa ajili yake, pia akampa vyakula na ule upanga wa Goliathi, Mfilisti.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahimeleki akamuuliza bwana kwa ajili yake; pia akampa vyakula na ule upanga wa Goliathi Mfilisti.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akamwuliza BWANA kwa ajili yake, akampa vyakula, akampa na ule upanga wa Goliathi, Mfilisti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahimeleki alimwombea Daudi kwa Mwenyezi-Mungu, akampa chakula na upanga wa yule Mfilisti Goliathi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu akamwuliza Bwana kwa ajili yake, akampa pamba za njiani, nao upanga wa yule Mfilisti Goliati akampa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamwuliza BWANA kwa ajili yake, akampa vyakula, akampa na ule upanga wa Goliathi, Mfilisti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahimeleki alimwombea Daudi kwa Yawe, akamupa chakula na upanga wa yule Mufilistini Goliati.”