1 Samuel 22:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Shauli akaagiza kuhani Ahimeleki mwana wa Ahitubu, pamoja na watu wote wa jamaa ya baba yake ambao walikuwa makuhani huko Nobu waitwe. Wote wakamwendea mfalme Shauli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme akatuma watu wamwite kuhani Ahimeleki mwana wa Ahitubu, na jamaa yote ya baba yake, waliokuwa makuhani huko Nobu, nao wote wakaja kwa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mfalme akatuma watu waende kumwita Ahimeleki, kuhani, mwana wa Ahitubu, na jamaa yote ya baba yake, hao makuhani, waliokuwako huko Nobu; nao wakaenda kwa mfalme wote pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Shauli akaagiza kuhani Ahimeleki mwana wa Ahitubu, pamoja na watu wote wa jamaa ya baba yake ambao walikuwa makuhani huko Nobu waitwe. Wote wakamwendea mfalme Shauli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme akatuma watu wamwite kuhani Ahimeleki mwana wa Ahitubu na jamaa yote ya baba yake, ambao walikuwa makuhani huko Nobu, nao wote wakaja kwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme akatuma watu wamwite kuhani Ahimeleki mwana wa Ahitubu, na jamaa yote ya baba yake, waliokuwa makuhani huko Nobu, nao wote wakaja kwa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mfalme akatuma watu waende kumwita Ahimeleki, kuhani, mwana wa Ahitubu, na jamaa yote ya baba yake, hao makuhani, waliokuwako huko Nobu; nao wakaenda kwa mfalme wote pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Shauli akaagiza kuhani Ahimeleki mwana wa Ahitubu, pamoja na watu wote wa jamaa ya baba yake ambao walikuwa makuhani huko Nobu waitwe. Wote wakamwendea mfalme Shauli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akatuma kumwita mtambikaji Ahimeleki, mwana wa Ahitubu, na mlango wote wa baba yake waliokuwa watambikaji huko Nobe, nao wakaja wote kwa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mfalme akatuma watu waende kumwita Ahimeleki, kuhani, mwana wa Ahitubu, na jamaa yote ya baba yake, hao makuhani, waliokuwako huko Nobu; nao wakaenda kwa mfalme wote pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Saulo akaagiza kuhani Ahimeleki mwana wa Ahitubu pamoja na watu wote wa jamaa ya baba yake ambao walikuwa makuhani kule Noba waitwe. Wote wakamwendea mufalme Saulo.