1 Samuel 22:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli akasema, “Sasa sikiliza wewe mwana wa Ahitubu.” Ahimeleki akamjibu, “Naam, bwana.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akasema, “Sikiliza sasa, mwana wa Ahitubu.” Akajibu, “Naam, bwana wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauli akasema, Sikia sasa, Ewe mwana wa Ahitubu. Naye akaitika, Mimi hapa, bwana wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli akasema, “Sasa sikiliza wewe mwana wa Ahitubu.” Ahimeleki akamjibu, “Naam, bwana.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akasema, “Sikiliza sasa, mwana wa Ahitubu.” Akajibu, “Naam bwana wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akasema, “Sikiliza sasa, mwana wa Ahitubu.” Akajibu, “Naam, bwana wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauli akasema, Sikia sasa, Ewe mwana wa Ahitubu. Naye akaitika, Mimi hapa, bwana wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli akasema, “Sasa sikiliza wewe mwana wa Ahitubu.” Ahimeleki akamjibu, “Naam, bwana.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akasema: Sikiliza, mwana wa Ahitubu! Akajibu: Nipo hapa, bwana wangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauli akasema, Sikia sasa, Ewe mwana wa Ahitubu. Naye akaitika, Mimi hapa, bwana wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo akasema: “Sasa sikiliza wewe mwana wa Ahitubu.” Ahimeleki akamujibu: “Ndiyo, bwana.”