1 Samuel 22:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Leo, sio mara ya kwanza kumwomba Mungu shauri kwa ajili yake. Mfalme, usinishuku mimi wala mtu yeyote katika jamaa ya baba yangu juu ya njama hizo. Mimi mtumishi wako, sijui lolote, liwe kubwa au dogo juu ya jambo hilo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, siku hiyo ilikuwa ndiyo ya kwanza kumwomba Mungu kwa ajili yake? La hasha! Mfalme na usiwashutumu watumishi wako wala yeyote wa jamaa ya baba yake, kwa kuwa mtumishi wako hafahamu lolote kabisa kuhusu jambo hili lote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mimi nimeanza leo tu kumwuliza Mungu kwa ajili yake? Hasha! Mfalme asinidhanie mimi, mtumishi wake neno hili, Wala jamaa yote ya baba yangu, kwa maana mimi, mtumishi wako siyajui hayo yote, yaliyopungua au yaliyozidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Leo, sio mara ya kwanza kumwomba Mungu shauri kwa ajili yake. Mfalme, usinishuku mimi wala mtu yeyote katika jamaa ya baba yangu juu ya njama hizo. Mimi mtumishi wako, sijui lolote, liwe kubwa au dogo juu ya jambo hilo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, siku hiyo ilikuwa ndiyo ya kwanza kumwomba Mungu kwa ajili yake? La hasha! Mfalme na usiwashutumu watumishi wako wala ye yote wa jamaa ya baba yake, kwa kuwa mtumishi wako hafahamu lo lote kabisa kuhusu jambo hili lote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, siku hiyo ilikuwa ndiyo ya kwanza kumwomba Mungu kwa ajili yake? La hasha! Mfalme na usiwashutumu watumishi wako wala yeyote wa jamaa ya baba yake, kwa kuwa mtumishi wako hafahamu lolote kabisa kuhusu jambo hili lote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mimi nimeanza leo tu kumwuliza Mungu kwa ajili yake? Hasha! Mfalme asinidhanie mimi, mtumishi wake neno hili, Wala jamaa yote ya baba yangu, kwa maana mimi, mtumishi wako siyajui hayo yote, yaliyopungua au yaliyozidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Leo, sio mara ya kwanza kumwomba Mungu shauri kwa ajili yake. Mfalme, usinishuku mimi wala mtu yeyote katika jamaa ya baba yangu juu ya njama hizo. Mimi mtumishi wako, sijui lolote, liwe kubwa au dogo juu ya jambo hilo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Siku hiyo ilikuwa ya kwanza ya kumwuliza Mungu kwa ajili yake? Hilo lisinipate! Mfalme asimsingizie mtumishi wake na mlango wote wa baba yangu jambo kama hilo! Kwani mtumishi wako hayajui haya yote, wala makubwa, wala madogo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mimi nimeanza leo tu kumwuliza Mungu kwa ajili yake? Hasha! Mfalme asinidhanie mimi, mtumishi wake neno hili, Wala jamaa yote ya baba yangu, kwa maana mimi, mtumishi wako siyajui hayo yote, yaliyopungua au yaliyozidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Leo, sio mara ya kwanza kumwomba Mungu shauri kwa ajili yake. Mufalme, usiniwazie mimi wala mutu yeyote katika jamaa ya baba yangu juu ya mabaya yale. Mimi mutumishi wako, sijui neno lolote, likuwe kubwa au dogo juu ya jambo hilo.”