1 Samuel 22:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha aliwaua kwa makali ya upanga wakazi wote wa Nobu, mji wa makuhani, wanaume na wanawake, watoto wadogo na wanyonyao, ng'ombe, punda na kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akaupiga Nobu, mji wa makuhani kwa upanga, wakiwemo wanaume na wanawake, watoto na wale watoto wanaonyonya, ng’ombe, punda na kondoo wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akaupiga Nobu, mji wa makuhani, kwa makali ya upanga, wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao, na ng'ombe, na punda, na kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha aliwaua kwa makali ya upanga wakazi wote wa Nobu, mji wa makuhani, wanaume na wanawake, watoto wadogo na wanyonyao, ng'ombe, punda na kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akaupiga Nobu kwa upanga, mji wa makuhani, wakiwemo wanaume na wanawake, watoto wadogo na wale wanyonyao, ng'ombe zake, punda na kondoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akaupiga Nobu kwa upanga, mji wa makuhani, wakiwemo wanaume na wanawake, watoto wadogo na wale wanyonyao, ng’ombe wake, punda na kondoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akaupiga Nobu, mji wa makuhani, kwa makali ya upanga, wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao, na ng'ombe, na punda, na kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha aliwaua kwa makali ya upanga wakazi wote wa Nobu, mji wa makuhani, wanaume na wanawake, watoto wadogo na wanyonyao, ng'ombe, punda na kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaupiga ule mji wa Nobe kwa ukali wa upanga, waume kwa wake, vijana kwa wachanga, ng'ombe na punda na kondoo, wote pia akawaua kwa ukali wa upanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akaupiga Nobu, mji wa makuhani, kwa makali ya upanga, wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao, na ng’ombe, na punda, na kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha aliwaua kwa makali ya upanga wakaaji wote wa Noba, muji wa makuhani, wanaume na wanawake, watoto wadogo na wenye kunyonya, ngombe, punda na kondoo.