1 Samuel 22:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abiathari alimweleza Daudi kuwa Shauli amewaua makuhani wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abiathari akamwambia Daudi kuwa Sauli amewaua makuhani wa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Abiathari akamweleza Daudi ya kwamba Sauli amewaua makuhani wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abiathari alimweleza Daudi kuwa Shauli amewaua makuhani wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia Daudi kuwa Sauli amewaua makuhani wa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia Daudi kuwa Sauli amewaua makuhani wa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Abiathari akamweleza Daudi ya kwamba Sauli amewaua makuhani wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abiathari alimweleza Daudi kuwa Shauli amewaua makuhani wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abiatari akamsimulia Dawidi, ya kuwa Sauli amewaua watambikaji wa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Abiathari akamweleza Daudi ya kwamba Sauli amewaua makuhani wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abiatari alimwelezea Daudi kwamba Saulo amewaua makuhani wa Yawe.