1 Samuel 22:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe, kaa pamoja nami, wala usiogope. Maana, anayetafuta kuyaangamiza maisha yangu anatafuta hata yako pia. Ukiwa pamoja nami, uko salama kabisa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kaa pamoja nami; usiogope. Mtu anayeutafuta uhai wako anautafuta uhai wangu pia. Ukiwa pamoja nami utakuwa salama.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kaa wewe pamoja nami, usiogope; kwa maana yeye atafutaye roho yangu, ndiye atafutaye na roho yako; nawe utakaa kwangu salama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe, kaa pamoja nami, wala usiogope. Maana, anayetafuta kuyaangamiza maisha yangu anatafuta hata yako pia. Ukiwa pamoja nami, uko salama kabisa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukae pamoja nami, usiogope. Mtu anayeutafuta uhai wako anautafuta uhai wangu pia. Ukiwa pamoja nami utakuwa salama.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kaa pamoja nami; usiogope. Mtu anayeutafuta uhai wako anautafuta uhai wangu pia. Ukiwa pamoja nami utakuwa salama.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kaa wewe pamoja nami, usiogope; kwa maana yeye atafutaye roho yangu, ndiye atafutaye na roho yako; nawe utakaa kwangu salama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe, kaa pamoja nami, wala usiogope. Maana, anayetafuta kuyaangamiza maisha yangu anatafuta hata yako pia. Ukiwa pamoja nami, uko salama kabisa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo kaa kwangu, usiogope! Kwani atakayeitaka roho yako sharti kwanza aipate roho yangu, kwangu mimi utakuwa umeangaliwa vema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kaa wewe pamoja nami, usiogope; kwa maana yeye atafutaye roho yangu, ndiye atafutaye na roho yako; nawe utakaa kwangu salama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe, ukae pamoja nami, wala usiogope. Maana, anayetafuta kuyaangamiza maisha yangu anatafuta hata yako vilevile. Ukiwa pamoja nami, uko salama kabisa.”