1 Samuel 22:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Daudi aliwaacha wazazi wake wakae na mfalme wa Moabu; nao wakakaa kwake muda wote ambao Daudi alikuwa ngomeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo akawaacha wazazi wake wakae na mfalme wa Moabu, nao wakakaa naye muda wote ambao Daudi alikuwa ngomeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaleta mbele ya mfalme wa Moabu, nao wakakaa pamoja naye wakati wote Daudi alipokuwa ngomeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Daudi aliwaacha wazazi wake wakae na mfalme wa Moabu; nao wakakaa kwake muda wote ambao Daudi alikuwa ngomeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo akawaacha wazazi wake wakae na mfalme wa Moabu, nao wakakaa naye muda wote Daudi aliokuwa ngomeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo akawaacha wazazi wake wakae na mfalme wa Moabu, nao wakakaa naye muda wote ambao Daudi alikuwa ngomeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaleta mbele ya mfalme wa Moabu, nao wakakaa pamoja naye wakati wote Daudi alipokuwa ngomeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Daudi aliwaacha wazazi wake wakae na mfalme wa Moabu; nao wakakaa kwake muda wote ambao Daudi alikuwa ngomeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akawapeleka kwa mfalme wa Moabu, wakakaa naye siku zote, Dawidi alipokuwa hapo ngomeni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaleta mbele ya mfalme wa Moabu, nao wakakaa pamoja naye wakati wote Daudi alipokuwa ngomeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Daudi aliwaacha wazazi wake wakae na mufalme wa Moabu; nao wakakaa kwake kwa muda wote ambao Daudi alikuwa katika nafasi za makimbilio.