1 Samuel 23:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akamwuliza, “Je, wakazi wa Keila watanitia mikononi mwa Shauli, mimi pamoja na watu wangu?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Watakutia mikononi mwake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akauliza tena, “Je watu wa Keila watanisalimisha mimi pamoja na watu wangu kwa Sauli?” Naye Mwenyezi Mungu akasema, “Ndiyo, watafanya hivyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Daudi akasema, Je! Watu wa Keila watanitia mimi na watu wangu mkononi mwake Sauli? Bwana akasema, Watakutia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akamwuliza, “Je, wakazi wa Keila watanitia mikononi mwa Shauli, mimi pamoja na watu wangu?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Watakutia mikononi mwake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akauliza tena, “Je watu wa Keila watanisalimisha mimi pamoja na watu wangu kwa Sauli?” Naye BWANA akasema, “Ndiyo, watafanya hivyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akauliza tena, “Je watu wa Keila watanisalimisha mimi pamoja na watu wangu kwa Sauli?” Naye bwana akasema, “Ndiyo, watafanya hivyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Daudi akasema, Je! Watu wa Keila watanitia mimi na watu wangu mkononi mwake Sauli? BWANA akasema, Watakutia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akamwuliza, “Je, wakazi wa Keila watanitia mikononi mwa Shauli, mimi pamoja na watu wangu?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Watakutia mikononi mwake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akauliza tena: Wenyeji wa Keila watanitoa mimi na watu wangu na kututia mkononi mwa Sauli? Bwana akasema: Watawatoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Daudi akasema, Je! Watu wa Keila watanitia mimi na watu wangu mkononi mwake Sauli? BWANA akasema, Watakutia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akamwuliza: “Wakaaji wa Keila watanitia katika mikono ya Saulo, mimi pamoja na watu wangu?” Yawe akamujibu: “Watakutia katika mikono yake.”