1 Samuel 23:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonathani mwana wa Shauli alimfuata Daudi huko Horeshi akamtia moyo kwamba Mungu anamlinda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Yonathani mwana wa Sauli akamwendea Daudi huko Horeshi na kumtia moyo kusimama imara katika imani yake kwa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yonathani, mwana wa Sauli, akainuka akamwendea Daudi huko Horeshi, akamtia nguvu mkono wake katika Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonathani mwana wa Shauli alimfuata Daudi huko Horeshi akamtia moyo kwamba Mungu anamlinda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Yonathani mwana wa Sauli akamwendea Daudi huko Horeshi na kumtia moyo kusimama imara katika imani yake kwa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Yonathani mwana wa Sauli akamwendea Daudi huko Horeshi na kumtia moyo kusimama imara katika imani yake kwa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yonathani, mwana wa Sauli, akainuka akamwendea Daudi huko Horeshi, akamtia nguvu mkono wake katika Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonathani mwana wa Shauli alimfuata Daudi huko Horeshi akamtia moyo kwamba Mungu anamlinda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yonatani, mwana wa Sauli, alipoondoka kwenda kwake Dawidi kule mwituni, akaushupaza mkono wake kwa nguvu za Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yonathani, mwana wa Sauli, akainuka akamwendea Daudi huko Horeshi, akamtia nguvu mkono wake katika Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonatani mwana wa Saulo akamufuata Daudi kule Horeshi, akamutia moyo kwamba Mungu anamulinda.