1 Samuel 23:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wote wawili, wakafanya agano mbele ya Mwenyezi-Mungu. Daudi akabaki mjini Horeshi na Yonathani akaenda zake nyumbani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wawili wakafanya agano mbele za Mwenyezi Mungu. Kisha Yonathani akaenda zake nyumbani, lakini Daudi akabaki Horeshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao wawili wakafanya agano mbele za Bwana; Daudi naye akakaa huko Horeshi, na Yonathani akaenda nyumbani kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wote wawili, wakafanya agano mbele ya Mwenyezi-Mungu. Daudi akabaki mjini Horeshi na Yonathani akaenda zake nyumbani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wawili wakaweka agano mbele za BWANA. Kisha Yonathani akaenda zake nyumbani, lakini Daudi akabaki Horeshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wawili wakaweka agano mbele za bwana. Kisha Yonathani akaenda zake nyumbani, lakini Daudi akabaki Horeshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao wawili wakafanya agano mbele za BWANA; Daudi naye akakaa huko Horeshi, na Yonathani akaenda nyumbani kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wote wawili, wakafanya agano mbele ya Mwenyezi-Mungu. Daudi akabaki mjini Horeshi na Yonathani akaenda zake nyumbani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wote wawili wakafanya agano machoni pa Bwana; Dawidi akakaa kule mwituni, naye Yonatani akaenda nyumbani kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao wawili wakafanya agano mbele za BWANA; Daudi naye akakaa huko Horeshi, na Yonathani akaenda nyumbani kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wote wawili, wakafanya agano mbele ya Yawe. Daudi akabaki katika muji wa Horeshi na Yonatani akaenda zake kwenye nyumba.