1 Samuel 23:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti hawa?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Ndiyo, nenda ukawashambulie Wafilisti na kuuokoa mji wa Keila.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akauliza kwa Mwenyezi Mungu, akisema, “Je, niende na kuwashambulia hawa Wafilisti?” Mwenyezi Mungu akamjibu, “Nenda, washambulie Wafilisti na uuokoe Keila.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akamwuliza Bwana, kusema, Je! Niende nikawapige hao Wafilisti? Naye Bwana akamwambia Daudi, Nenda ukawapige Wafilisti, na kuuokoa Keila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti hawa?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Ndiyo, nenda ukawashambulie Wafilisti na kuuokoa mji wa Keila.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akauliza kwa BWANA, akisema, “Je, niende na kuwashambulia hawa Wafilisti?” BWANA akamjibu, “Nenda, washambulie Wafilisti na uiokoe Keila.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akauliza kwa bwana, akisema, “Je, niende na kuwashambulia hawa Wafilisti?” bwana akamjibu, “Nenda, washambulie Wafilisti na uuokoe Keila.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akamwuliza BWANA, Je! Niende nikawapige hao Wafilisti? Naye BWANA akamwambia Daudi, Nenda ukawapige Wafilisti, na kuuokoa Keila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti hawa?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Ndiyo, nenda ukawashambulie Wafilisti na kuuokoa mji wa Keila.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akamwuliza Bwana kwamba: Niende, niwapige hao Wafilisti? Bwana akamwambia Dawidi. Nenda, uwapige hao Wafilisti, uuokoe mji wa Keila!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akamwuliza BWANA, kusema, Je! Niende nikawapige hao Wafilisti? Naye BWANA akamwambia Daudi, Nenda ukawapige Wafilisti, na kuuokoa Keila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Daudi akamwomba Yawe shauri: “Niende kuwashambulia Wafilistini hawa?” Yawe akamujibu: “Ndiyo, kwenda kuwashambulia Wafilistini na kuuokoa muji wa Keila.”