1 Samuel 23:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, mfalme, njoo ili utekeleze yaliyomo moyoni mwako, na kwa upande wetu, jukumu letu litakuwa kumtia Daudi mikononi mwako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa, ee mfalme, uteremke wakati wowote unapoona vyema kufanya hivyo, sisi tutawajibika kumkabidhi kwa mfalme.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, Ee mfalme, ushuke, kama utakavyo nafsini mwako kushuka; na kazi yetu itakuwa kumtia mkononi mwa mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, mfalme, njoo ili utekeleze yaliyomo moyoni mwako, na kwa upande wetu, jukumu letu litakuwa kumtia Daudi mikononi mwako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa, Ee mfalme, utelemke wakati wo wote unapoona vyema kufanya hivyo, sisi tutawajibika kumkabidhi kwa mfalme.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa, ee mfalme, uteremke wakati wowote unapoona vyema kufanya hivyo, sisi tutawajibika kumkabidhi kwa mfalme.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, Ee mfalme, ushuke, kama utakavyo nafsini mwako kushuka; na kazi yetu itakuwa kumtia mkononi mwa mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, mfalme, njoo ili utekeleze yaliyomo moyoni mwako, na kwa upande wetu, jukumu letu litakuwa kumtia Daudi mikononi mwako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa wewe mfalme, shuka tu kwa hivyo, roho yako inavyotamani kabisa kushuka! Nasi tutamtoa, tumtie mkononi mwa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, Ee mfalme, ushuke, kama utakavyo nafsini mwako kushuka; na kazi yetu itakuwa kumtia mkononi mwa mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, mufalme, ukuje kusudi utimize mambo yanayokuwa ndani ya moyo wako, na kwa upande wetu, kazi yetu itakuwa kumutia Daudi katika mikono yako.”