1 Samuel 23:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli akawajibu, “Nyinyi kweli mnanionea huruma; Mwenyezi-Mungu na awabariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akajibu, “Mwenyezi Mungu awabariki kwa kunifikiria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Sauli akasema, Na mbarikiwe ninyi na Bwana; kwa sababu mmenihurumia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli akawajibu, “Nyinyi kweli mnanionea huruma; Mwenyezi-Mungu na awabariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akajibu, “BWANA awabariki kwa kunifikiria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akajibu, “ bwana awabariki kwa kunifikiria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Sauli akasema, Na mbarikiwe ninyi na BWANA; kwa sababu mmenihurumia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli akawajibu, “Nyinyi kweli mnanionea huruma; Mwenyezi-Mungu na awabariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akasema: Na mbarikiwe na Bwana, kwa kuwa mmenihurumia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Sauli akasema, Na mbarikiwe ninyi na BWANA; kwa sababu mmenihurumia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo akawajibu: “Ninyi kweli munanionea huruma; Yawe awabariki.