1 Samuel 23:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nendeni, mkahakikishe tena, mjue mahali anapojificha, na ni nani amemwona mahali hapo; maana nimeambiwa kwamba yeye ni mjanja sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nendeni mkafanye maandalizi zaidi. Mkajue mahali Daudi huenda mara kwa mara, na nani amepata kumwona huko. Wananiambia yeye ni mjanja sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nendeni, nawasihi, mkazidi kupata hakika, mkajue na kuona mahali pake anapojificha, tena ni nani aliyemwona huko; maana nimeambiwa ya kwamba atenda kwa hila nyingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nendeni, mkahakikishe tena, mjue mahali anapojificha, na ni nani amemwona mahali hapo; maana nimeambiwa kwamba yeye ni mjanja sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nendeni mkafanye maandalizi zaidi. Mkajue mahali ambapo Daudi huenda mara kwa mara na nani amepata kumwona huko. Wananiambia yeye ni mwerevu sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nendeni mkafanye maandalizi zaidi. Mkajue mahali ambapo Daudi huenda mara kwa mara na nani amepata kumwona huko. Wananiambia yeye ni mwerevu sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nendeni, nawasihi, mkazidi kupata hakika, mkajue na kuona mahali pake anapojificha, tena ni nani aliyemwona huko; maana nimeambiwa ya kwamba ana ujanja mwingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nendeni, mkahakikishe tena, mjue mahali anapojificha, na ni nani amemwona mahali hapo; maana nimeambiwa kwamba yeye ni mjanja sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nendeni kumvumbua tena, mpate kujua na kupaona mahali pake panapo nyayo zake, mmjue naye aliyemwona. Kwani watu huniambia, ya kuwa ni mwerevu sanasana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nendeni, nawasihi, mkazidi kupata hakika, mkajue na kuona mahali pake anapojificha, tena ni nani aliyemwona huko; maana nimeambiwa ya kwamba atenda kwa hila nyingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muende tena muhakikishe, mujue pahali anapojificha, na ni nani amemwona pahali pale; maana nimeambiwa kwamba yeye ni mwerevu sana.