1 Samuel 23:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo mtu mmoja akamwendea Shauli na kumwambia, “Njoo haraka; Wafilisti wanaishambulia nchi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mjumbe alikuja kwa Sauli, akisema, “Njoo haraka! Wafilisti wanaishambulia nchi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini akaja mjumbe kwa Sauli, kusema, Njoo upesi, kwa kuwa Wafilisti wameishambulia nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo mtu mmoja akamwendea Shauli na kumwambia, “Njoo haraka; Wafilisti wanaishambulia nchi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mjumbe alikuja kwa Sauli, akisema, “Njoo haraka! Wafilisti wanashambulia nchi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mjumbe alikuja kwa Sauli, akisema, “Njoo haraka! Wafilisti wanaishambulia nchi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini akaja mjumbe kwa Sauli, kusema, Njoo upesi, kwa kuwa Wafilisti wameishambulia nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo mtu mmoja akamwendea Shauli na kumwambia, “Njoo haraka; Wafilisti wanaishambulia nchi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, mjumbe alipofika kwa Sauli kwamba: Uje mbiombio, kwani Wafilisti wanaiteka nchi hii!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini akaja mjumbe kwa Sauli, kusema, Njoo upesi, kwa kuwa Wafilisti wameishambulia nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo mutu mumoja akamwendea Saulo na kumwambia: “Kuja haraka; Wafilistini wanaishambulia inchi.”