1 Samuel 23:29 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi aliondoka mahali hapo, akaenda kuishi kwenye ngome ya mji wa Engedi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Daudi akakwea kutoka huko na kuishi katika ngome za En-Gedi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi akakwea kutoka huko, akakaa katika ngome ya Engedi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi aliondoka mahali hapo, akaenda kuishi kwenye ngome ya mji wa Engedi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Daudi akakwea kutoka huko na kuishi katika ngome za En-Gedi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Daudi akakwea kutoka huko na kuishi katika ngome za En-Gedi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Daudi akakwea kutoka huko, akakaa katika ngome ya Engedi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi aliondoka mahali hapo, akaenda kuishi kwenye ngome ya mji wa Engedi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akaondoka hapo, akakaa magengeni huko Engedi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)