1 Samuel 23:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Shauli aliyaita majeshi yaende Keila na kufanya mashambulizi, ili kumzingira Daudi pamoja na watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Sauli akayaita majeshi yake yote yaende vitani, kuishukia Keila ili kumzingira Daudi na watu wake kwa jeshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Sauli akawaita watu wote waende vitani, ili waishukie Keila, na kumhusuru Daudi na watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Shauli aliyaita majeshi yaende Keila na kufanya mashambulizi, ili kumzingira Daudi pamoja na watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Sauli akayaita majeshi yake yote yaende vitani, kuishukia Keila ili kumzingira Daudi na watu wake kwa jeshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Sauli akayaita majeshi yake yote yaende vitani, kuishukia Keila ili kumzingira Daudi na watu wake kwa jeshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Sauli akawaita watu wote waende vitani, ili waishukie Keila, na kumzingira Daudi na watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Shauli aliyaita majeshi yaende Keila na kufanya mashambulizi, ili kumzingira Daudi pamoja na watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Sauli akawaita watu wote kuja vitani, waushukie Keila kumsonga Dawidi na watu wake kwa kuwazinga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Sauli akawaita watu wote waende vitani, ili waishukie Keila, na kumhusuru Daudi na watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Saulo aliwatuma waaskari waende Keila na kufanya mashambulizi, kwa kumukamata Daudi pamoja na watu wake.