1 Samuel 24:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alipomaliza kusema, Shauli akasema, “Je, hiyo ni sauti yako mwanangu Daudi?” Shauli akalia kwa sauti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi alipomaliza kusema haya, Sauli akamuuliza, “Je, hiyo ni sauti yako, Daudi mwanangu?” Ndipo Sauli akalia kwa sauti kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, Daudi alipokwisha kumwambia Sauli maneno hayo Sauli alisema, Hii ndiyo sauti yako, Daudi, mwanangu? Naye Sauli akapaza sauti yake, akalia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alipomaliza kusema, Shauli akasema, “Je, hiyo ni sauti yako mwanangu Daudi?” Shauli akalia kwa sauti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi alipomaliza kusema haya, Sauli akamwuliza, “Je, hiyo ni sauti yako, Daudi mwanangu?” Ndipo Sauli akalia kwa sauti kuu, akisema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi alipomaliza kusema haya, Sauli akamuuliza, “Je, hiyo ni sauti yako, Daudi mwanangu?” Ndipo Sauli akalia kwa sauti kuu, akisema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, Daudi alipokwisha kumwambia Sauli maneno hayo Sauli alisema, Hii ndiyo sauti yako, Daudi, mwanangu? Naye Sauli akapaza sauti yake, akalia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alipomaliza kusema, Shauli akasema, “Je, hiyo ni sauti yako mwanangu Daudi?” Shauli akalia kwa sauti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Dawidi alipokwisha kumwambia Sauli maneno haya, Sauli akasema: Kumbe hii si sauti yako, mwanangu Dawidi? Kisha Sauli akapaza sauti na kulia machozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, Daudi alipokwisha kumwambia Sauli maneno hayo Sauli alisema, Hii ndiyo sauti yako, Daudi, mwanangu? Naye Sauli akapaza sauti yake, akalia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe akuwe mwamuzi kati yangu na wewe. Yeye aliangalie jambo hili, anitetee na kuniokoa katika mikono yako.”