1 Samuel 24:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Leo, umeonesha jinsi ulivyo mwema kwangu. Hukuniua ijapokuwa Mwenyezi-Mungu alinitia mikononi mwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa umeniambia kuhusu mema uliyonitendea. Mwenyezi Mungu alinitia mikononi mwako, lakini wewe hukuniua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe umeonyesha leo jinsi ulivyonitendea mema, kwani Bwana aliponitia mikononi mwako, hukuniua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Leo, umeonesha jinsi ulivyo mwema kwangu. Hukuniua ijapokuwa Mwenyezi-Mungu alinitia mikononi mwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa umeniambia juu ya mema uliyonitendea. BWANA alinitia mikononi mwako, lakini wewe hukuniua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa umeniambia juu ya mema uliyonitendea. bwana alinitia mikononi mwako, lakini wewe hukuniua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe umeonesha leo jinsi ulivyonitendea mema, kwani BWANA aliponitia mikononi mwako, hukuniua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Leo, umeonesha jinsi ulivyo mwema kwangu. Hukuniua ijapokuwa Mwenyezi-Mungu alinitia mikononi mwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe umeuonyesha leo huo wema, ulionifanyizia, usiponiua, Bwana aliponitoa na kunitia mkononi mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe umeonyesha leo jinsi ulivyonitendea mema, kwani BWANA aliponitia mikononi mwako, hukuniua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akamwambia Daudi: “Wewe una haki kuliko mimi; umenilipa mazuri, wakati mimi nimekulipa mabaya.