1 Samuel 24:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mtu akimkamata adui yake atamwacha aende salama? Kwa lile ulilonitendea, Mwenyezi-Mungu na akupe tuzo jema!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mtu ampatapo adui yake, humwacha aende zake bila kumdhuru? Mwenyezi Mungu na akulipe mema kwa jinsi ulivyonitenda leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mtu akimwona adui yake, je! Atamwacha aende zake salama? Basi Bwana na akulipe mema kwa haya uliyonitendea leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mtu akimkamata adui yake atamwacha aende salama? Kwa lile ulilonitendea, Mwenyezi-Mungu na akupe tuzo jema!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mtu ampatapo adui yake, humwacha aende zake bila kumdhuru? BWANA na akulipe mema kwa jinsi ulivyonitenda leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mtu ampatapo adui yake, humwacha aende zake bila kumdhuru? bwana na akulipe mema kwa jinsi ulivyonitenda leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mtu akimwona adui yake, je! Atamwacha aende zake salama? Basi BWANA na akulipe mema kwa haya uliyonitendea leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mtu akimkamata adui yake atamwacha aende salama? Kwa lile ulilonitendea, Mwenyezi-Mungu na akupe tuzo jema!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mtu akimwona mchukivu wake atamwacha, ajiendee, pasipo kumfanyizia kibaya? Bwana na akulipe na kukupatia mema kwa hayo, uliyonifanyizia leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mtu akimwona adui yake, je! Atamwacha aende zake salama? Basi BWANA na akulipe mema kwa haya uliyonitendea leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Leo, umeonyesha jinsi unavyokuwa muzuri kwangu. Haukuniua ijapokuwa Yawe alinitia katika mikono yako.