1 Samuel 24:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini niapie kwa jina la Mwenyezi-Mungu kuwa hutawakatilia mbali wazawa wangu, wala kufutilia mbali jina langu katika jamaa ya baba yangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa niapie kwa Mwenyezi Mungu kwamba hutakatilia mbali uzao wangu wala kulifuta jina langu kutoka jamaa ya baba yangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, uniapie kwa Bwana, ya kwamba hutawakatilia mbali wazao wangu baada yangu, wala hutaliharibu jina langu katika mbari ya baba yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini niapie kwa jina la Mwenyezi-Mungu kuwa hutawakatilia mbali wazawa wangu, wala kufutilia mbali jina langu katika jamaa ya baba yangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa niapie kwa BWANA kwamba hutakatilia mbali uzao wangu wala kulifuta jina langu kutoka katika jamaa ya baba yangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa niapie kwa bwana kwamba hutakatilia mbali uzao wangu wala kulifuta jina langu kutoka jamaa ya baba yangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, uniapie kwa BWANA, ya kwamba hutawakatilia mbali wazao wangu baada yangu, wala hutaliharibu jina langu katika ukoo wa baba yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini niapie kwa jina la Mwenyezi-Mungu kuwa hutawakatilia mbali wazawa wangu, wala kufutilia mbali jina langu katika jamaa ya baba yangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa uniapie ukimtaja Bwana, ya kuwa hutawaangamiza wao wa uzao wangu watakaokuwa nyuma yangu, wala hutalitowesha jina langu katika mlango wa baba yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, uniapie kwa BWANA, ya kwamba hutawakatilia mbali wazao wangu baada yangu, wala hutaliharibu jina langu katika mbari ya baba yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa nimejua kwamba hakika utakuwa mufalme wa Israeli, na ufalme wa Israeli utaimarishwa chini yako.