1 Samuel 24:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akaanza kufadhaika moyoni kwa sababu alikata pindo la vazi la Shauli kwa siri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya hilo, dhamiri ya Daudi ikataabika kwa kukata upindo wa joho la Sauli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini halafu, moyo wake Daudi ukamchoma, kwa sababu amekata upindo wa vazi lake Sauli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akaanza kufadhaika moyoni kwa sababu alikata pindo la vazi la Shauli kwa siri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya hilo, dhamiri ya Daudi ikataabika kwa kukata upindo wa joho la Sauli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya hilo, dhamiri ya Daudi ikataabika kwa kukata upindo wa joho la Sauli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini baadaye, moyo wake Daudi ukamchoma, kwa sababu amekata upindo wa vazi lake Sauli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akaanza kufadhaika moyoni kwa sababu alikata pindo la vazi la Shauli kwa siri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini baadaye moyo ukamkung'uta Dawidi, kwa kuwa amelikata pindo la kanzu ya Sauli;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini halafu, moyo wake Daudi ukamchoma, kwa sababu amekata upindo wa vazi lake Sauli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Daudi wakamwambia: “Ile siku Yawe aliyokuambia kwamba atakuja kumutia adui yako katika mikono yako nawe umutendee utakavyoona inafaa, leo imefika.” Halafu Daudi alimwendea Saulo polepole kutoka nyuma, akakata pindo la nguo yake.