1 Samuel 24:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaambia watu wake, “Mwenyezi-Mungu anizuie nisimtendee kitendo kama hiki bwana wangu aliyepakwa mafuta na Mwenyezi-Mungu. Nisiunyoshe mkono wangu dhidi ya mtu ambaye Mwenyezi-Mungu amempaka mafuta.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia watu wake, “Mwenyezi Mungu na apishie mbali nisije nikafanya jambo kama hilo kwa bwana wangu, yeye ambaye ni mpakwa mafuta wa Mwenyezi Mungu, au kuinua mkono wangu dhidi yake; kwani yeye ni mpakwa mafuta wa Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia watu wake, Hasha! Nisimtendee bwana wangu, masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaambia watu wake, “Mwenyezi-Mungu anizuie nisimtendee kitendo kama hiki bwana wangu aliyepakwa mafuta na Mwenyezi-Mungu. Nisiunyoshe mkono wangu dhidi ya mtu ambaye Mwenyezi-Mungu amempaka mafuta.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia watu wake, “BWANA na apishie mbali nisije nikafanya jambo kama hilo kwa bwana wangu, yeye ambaye ni mpakwa mafuta wa BWANA, au kuinua mkono wangu dhidi yake, kwani yeye ni mpakwa mafuta wa BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia watu wake, “ bwana na apishie mbali nisije nikafanya jambo kama hilo kwa bwana wangu, yeye ambaye ni mpakwa mafuta wa bwana, au kuinua mkono wangu dhidi yake; kwani yeye ni mpakwa mafuta wa bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia watu wake, Hasha! Nisimtendee bwana wangu, masihi wa BWANA, neno hili, kuunyosha mkono wangu juu yake, kwa maana yeye ni masihi wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaambia watu wake, “Mwenyezi-Mungu anizuie nisimtendee kitendo kama hiki bwana wangu aliyepakwa mafuta na Mwenyezi-Mungu. Nisiunyoshe mkono wangu dhidi ya mtu ambaye Mwenyezi-Mungu amempaka mafuta.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawaambia watu wake: Bwana na anizuie kabisa nisimfanyizie bwana wangu, Bwana aliyempaka mafuta, jambo kama hilo la kuuinua mkono wangu, nimguse tu! Kwani Bwana alimpaka mafuta yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia watu wake, Hasha! Nisimtendee bwana wangu, masihi wa BWANA, neno hili, kuunyosha mkono wangu juu yake, kwa maana yeye ni masihi wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akaanza kufazaika ndani ya moyo kwa sababu alikata pindo la nguo ya Saulo kwa siri.