1 Samuel 25:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, nichukue mikate yangu, maji yangu na nyama niliyowachinjia wakata-manyoya ya kondoo wangu na kuwapa watu ambao sijui hata wanakotoka?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini nichukue mkate wangu, maji yangu na nyama niliyochinja kwa ajili ya wakata manyoya wangu, na kuwapa watu ambao hakuna anayejua wanakotoka?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mimi je! Nitwae mkate wangu, na maji yangu, na machinjo yangu niliyowachinjia hao watu wangu wakatao manyoya kondoo zangu, na kuwapa watu ambao siwajui wametoka wapi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, nichukue mikate yangu, maji yangu na nyama niliyowachinjia wakata-manyoya ya kondoo wangu na kuwapa watu ambao sijui hata wanakotoka?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini nichukue mkate wangu, maji yangu na nyama niliyochinja kwa ajili ya wakata manyoya wangu, na kuwapa watu ambao hakuna anayejua wanakotoka?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini nichukue mkate wangu, maji yangu na nyama niliyochinja kwa ajili ya wakata manyoya wangu, na kuwapa watu ambao hakuna anayejua wanakotoka?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mimi je! Nitwae mkate wangu, na maji yangu, na machinjo yangu niliyowachinjia hao watu wangu wakatao kondoo wangu manyoya, na kuwapa watu ambao siwajui wametoka wapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, nichukue mikate yangu, maji yangu na nyama niliyowachinjia wakata-manyoya ya kondoo wangu na kuwapa watu ambao sijui hata wanakotoka?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa je? Vilaji vyangu na vinyaji vyangu na vinono vyangu, nilivyowachinjia wanaokata manyoya ya kondoo wangu, nivichukue, niwape watu, nisiowajua, wanakotoka?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mimi je! Nitwae mkate wangu, na maji yangu, na machinjo yangu niliyowachinjia hao watu wangu wakatao manyoya kondoo zangu, na kuwapa watu ambao siwajui wametoka wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikamate mikate yangu, maji yangu na nyama niliyowachinjia wakata manyoya ya kondoo wangu na kuwapa watu ambao sijui hata wanatoka wapi?”