1 Samuel 25:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wale vijana wa Daudi walirudi na kumwambia Daudi walivyojibiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Daudi wakageuka na kurudi. Walipofika, wakaarifu kila neno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi vijana wake Daudi wakageuka, wakaenda zao, wakarudi, nao wakaja wakamwambia sawasawa na maneno hayo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wale vijana wa Daudi walirudi na kumwambia Daudi walivyojibiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Daudi wakageuka na kurudi. Walipofika, wakaarifu kila neno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Daudi wakageuka na kurudi. Walipofika, wakaarifu kila neno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi vijana wake Daudi wakageuka, wakaenda zao, wakarudi, nao wakaja wakamwambia kama walivyoambiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wale vijana wa Daudi walirudi na kumwambia Daudi walivyojibiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, vijana wa Dawidi walipogeuka kurudi kwao; walipofika wakampasha habari hizo zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi vijana wake Daudi wakageuka, wakaenda zao, wakarudi, nao wakaja wakamwambia sawasawa na maneno hayo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wale vijana wa Daudi walirudi na kumwambia Daudi namna walivyojibiwa.