1 Samuel 25:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kijana mmoja wa Nabali, akamwambia Abigaili, mkewe Nabali, “Daudi alituma wajumbe kutoka nyikani ili kumsalimu bwana wetu. Lakini yeye aliwatukana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmoja wa watumishi akamwambia Abigaili, mkewe Nabali: “Daudi alituma wajumbe kutoka jangwani kumpa bwana wetu salamu zake, lakini akawatukana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kijana mmojawapo alimpasha habari Abigaili, mkewe Nabali, kasema, Tazama, Daudi alituma wajumbe kutoka nyikani waje ili kumsalimu bwana wetu, naye akawatukana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kijana mmoja wa Nabali, akamwambia Abigaili, mkewe Nabali, “Daudi alituma wajumbe kutoka nyikani ili kumsalimu bwana wetu. Lakini yeye aliwatukana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmoja wa watumishi akamwambia Abigaili, mkewe Nabali: “Daudi alituma wajumbe kutoka jangwani kumpa bwana wetu salamu zake, lakini akawavurumishia matukano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmoja wa watumishi akamwambia Abigaili, mkewe Nabali: “Daudi alituma wajumbe kutoka jangwani kumpa bwana wetu salamu zake, lakini akawavurumishia matukano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kijana mmojawapo alimpasha habari Abigaili, mkewe Nabali, akasema, Tazama, Daudi alituma wajumbe kutoka nyikani waje ili kumsalimu bwana wetu, naye akawatukana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kijana mmoja wa Nabali, akamwambia Abigaili, mkewe Nabali, “Daudi alituma wajumbe kutoka nyikani ili kumsalimu bwana wetu. Lakini yeye aliwatukana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kijana mmoja miongoni mwao wale vijana akamsimulia Abigaili, mkewe Nabali, kwamba: Tazama! Dawidi ametuma wajumbe toka nyikani, waje kumsalimia bwana wetu, lakini akawafokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kijana mmojawapo alimpasha habari Abigaili, mkewe Nabali, kasema, Tazama, Daudi alituma wajumbe kutoka nyikani waje ili kumsalimu bwana wetu, naye akawatukana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kijana mumoja wa Nabali, akamwambia Abigaili, muke wa Nabali: “Daudi alituma wajumbe toka katika jangwa kuja kumusalimia bwana wetu. Lakini yeye aliwatukana.