1 Samuel 25:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watu hao walikuwa wema sana kwetu, hawakutudhuru; na wakati wote tulipokuwa nao huko nyikani hatukukosa chochote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo watu hawa walikuwa wema sana kwetu. Hawakututendea mabaya, na wakati wote tulipokuwa nje huko mashambani karibu nao, hatukupotewa na kitu chochote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini watu hawa walitutendea mema sana, wala hatukupata dhara, wala sisi hatukupotewa na kitu cho chote, wakati wote tulipofuatana nao, tulipokuwako mavueni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watu hao walikuwa wema sana kwetu, hawakutudhuru; na wakati wote tulipokuwa nao huko nyikani hatukukosa chochote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo watu hawa walikuwa wema sana kwetu. Hawakututendea mabaya, na wakati wote tulipokuwa nje huko mashambani karibu nao, hatukupotewa na kitu cho chote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo watu hawa walikuwa wema sana kwetu. Hawakututendea mabaya, na wakati wote tulipokuwa nje huko mashambani karibu nao, hatukupotewa na kitu chochote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walakini watu hawa walitutendea mema sana, wala hatukupata dhara, wala sisi hatukupotewa na kitu chochote, wakati wote tulipofuatana nao, tulipokuwako malishoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watu hao walikuwa wema sana kwetu, hawakutudhuru; na wakati wote tulipokuwa nao huko nyikani hatukukosa chochote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wale watu wametufanyizia mema sana, hawakutufanyizia kibaya cho chote, wala hakikupotea kwetu cho chote siku zote, tulizotembea nao tulipokuwa porini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini watu hawa walitutendea mema sana, wala hatukupata dhara, wala sisi hatukupotewa na kitu cho chote, wakati wote tulipofuatana nao, tulipokuwako mavueni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watu hao walikuwa wema sana kwetu, hawakutuzuru; na wakati wote tulipokuwa nao kule katika jangwa hatukukosa kitu chochote.