1 Samuel 25:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwetu, walikuwa kama ukuta wa ulinzi usiku na mchana muda wote tulipokuwa tunawachunga kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiku na mchana walikuwa ukuta wa ulinzi wakati wote tulipokuwa tukichunga kondoo wetu karibu nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
watu hao walikuwa boma kwetu usiku na mchana, wakati wote tulipokuwa nao tukiwachunga kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwetu, walikuwa kama ukuta wa ulinzi usiku na mchana muda wote tulipokuwa tunawachunga kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku na mchana walikuwa ukuta wakituzunguka wakati wote tulipokuwa tukichunga kondoo zetu karibu nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiku na mchana walikuwa ukuta wakituzunguka wakati wote tulipokuwa tukichunga kondoo zetu karibu nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
watu hao walikuwa boma kwetu usiku na mchana, wakati wote tulipokuwa nao tukiwachunga kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwetu, walikuwa kama ukuta wa ulinzi usiku na mchana muda wote tulipokuwa tunawachunga kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walikuwa kwetu kama boma usiku na mchana siku zote, tulizokuwa kwao tukichunga kondoo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watu hao walikuwa boma kwetu usiku na mchana, wakati wote tulipokuwa nao tukiwachunga kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwetu, walikuwa kama ukuta wa ulinzi usiku na muchana muda wote tulipokuwa tunawachunga kondoo.