1 Samuel 25:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akamwambia yule kijana wake, “Tangulia! Mimi nitakufuata.” Lakini hakumwambia mumewe lolote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akawaambia watumishi wake, “Tangulieni; mimi nitakuja nyuma yenu.” Lakini hakumwambia Nabali mumewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia vijana wake, Haya! Tangulieni mbele yangu; angalieni, mimi nawafuata. Ila hakumwambia mumewe, Nabali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akamwambia yule kijana wake, “Tangulia! Mimi nitakufuata.” Lakini hakumwambia mumewe lolote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akawaambia watumishi wake, “Tangulieni, mimi nitakuja nyuma yenu.” Lakini hakumwambia Nabali mumewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akawaambia watumishi wake, “Tangulieni; mimi nitakuja nyuma yenu.” Lakini hakumwambia Nabali mumewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia vijana wake, Haya! Tangulieni mbele yangu; angalieni, mimi nawafuata. Ila hakumwambia mumewe, Nabali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akamwambia yule kijana wake, “Tangulia! Mimi nitakufuata.” Lakini hakumwambia mumewe lolote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akawaambia vijana wake: Nitangulieni! Mimi nitawafuata nyuma. Lakini mumewe Nabali hakumwambia neno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia vijana wake, Haya! Tangulieni mbele yangu; angalieni, mimi nawafuata. Ila hakumwambia mumewe, Nabali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamwambia yule kijana wake: “Utangulie! Mimi nitakufuata.” Lakini hakumwambia mume wake neno lolote.