1 Samuel 25:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipokuwa anateremka, amepanda punda wake, na kukingwa na mlima upande mmoja, akakutana kwa ghafla na Daudi na watu wake wakiwa wanaelekea upande anakotoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikawa alipokuwa amepanda punda wake kwenye bonde la mlima, tazama, Daudi na watu wake wakawa wanateremka kumwelekea, naye akakutana nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, alipokuwa amepanda punda wake, na kutelemka penye sitara ya mlima, tazama, Daudi na watu wake walikuwa wakishuka kumkabili; naye akawakuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipokuwa anateremka, amepanda punda wake, na kukingwa na mlima upande mmoja, akakutana kwa ghafla na Daudi na watu wake wakiwa wanaelekea upande anakotoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikawa alipokuwa amepanda punda wake kwenye bonde la mlima, tazama, Daudi na watu wake wakawa wanatelemka kumwelekea, naye akakutana nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikawa alipokuwa amepanda punda wake kwenye bonde la mlima, tazama, Daudi na watu wake wakawa wanateremka kumwelekea, naye akakutana nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, alipokuwa amepanda punda wake, na kuteremka akiwa amekingwa na mlima, tazama, Daudi na watu wake walikuwa wakishuka kumkabili; naye akawakuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipokuwa anateremka, amepanda punda wake, na kukingwa na mlima upande mmoja, akakutana kwa ghafla na Daudi na watu wake wakiwa wanaelekea upande anakotoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, alipokuwa amepanda punda wake na kutelemka mahali palipofichwa na mlima, naye Dawidi na watu wake walikuwa wakitelemka papo hapo upande wa huko; ndivyo, alivyokutana nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, alipokuwa amepanda punda wake, na kutelemka penye sitara ya mlima, tazama, Daudi na watu wake walikuwa wakishuka kumkabili; naye akawakuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokuwa anateremuka, akipanda juu ya punda wake, na kukingwa na mulima upande mumoja, akakutana kwa rafla na Daudi na watu wake wakiwa wanaelekea upande anakotoka.