1 Samuel 25:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu na aniue mimi ikiwa kesho asubuhi nitakuwa sijawaua wanaume wake wote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu na amwadhibu Daudi vikali zaidi, ikiwa kesho asubuhi nitambakizia mwanaume hata mmoja hai miongoni mwa watu wake wote!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu naye awafanyie hivyo adui za Daudi, na kuzidi, nikimwachia katika wote walio wake hata mtoto mume mmoja, kutakapopambazuka asubuhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu na aniue mimi ikiwa kesho asubuhi nitakuwa sijawaua wanaume wake wote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA na amshughulikie Daudi, tena kwa ukali, ikiwa kesho asubuhi nitambakizia mwanaume hata mmoja aliye hai miongoni mwa watu wake wote!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana na amshughulikie Daudi, tena kwa ukali, ikiwa kesho asubuhi nitambakizia mwanaume hata mmoja aliye hai miongoni mwa watu wake wote!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu naye awafanyie hivyo adui za Daudi, na kuzidi, nikimwachia katika wote walio wake hata mtoto mmoja wa kiume, kutakapopambazuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu na aniue mimi ikiwa kesho asubuhi nitakuwa sijawaua wanaume wake wote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu na awafanyizie wachukivu wote wa Dawidi hivi na hivi, nikisaza mpaka mapambazuko ya kesho mtu mmoja tu wa kiume kwao wote walio watu wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu naye awafanyie hivyo adui za Daudi, na kuzidi, nikimwachia katika wote walio wake hata mtoto mume mmoja, kutakapopambazuka asubuhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu aniue mimi ikiwa kesho asubui nitakuwa sijawaua wanaume wake wote.”