1 Samuel 25:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abigaili alipomwona tu Daudi, akashuka mara moja kutoka juu ya punda wake, na kuinama mbele ya Daudi hadi uso wake ukagusa chini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abigaili alipomwona Daudi, akashuka haraka kwenye punda wake, akamsujudia Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo hapo Abigaili alipomwona Daudi, alifanya haraka kushuka juu ya punda wake, akamwangukia Daudi kifulifuli, akainama mpaka nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abigaili alipomwona tu Daudi, akashuka mara moja kutoka juu ya punda wake, na kuinama mbele ya Daudi hadi uso wake ukagusa chini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abigaili alipomwona Daudi, akashuka haraka kwenye punda wake, akainama kifudifudi uso wake mpaka nchi mbele ya Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abigaili alipomwona Daudi, akashuka haraka kwenye punda wake, akainama kifudifudi uso wake mpaka nchi mbele ya Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo hapo Abigaili alipomwona Daudi, alifanya haraka kushuka juu ya punda wake, akamwangukia Daudi kifudifudi, akainama mpaka chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abigaili alipomwona tu Daudi, akashuka mara moja kutoka juu ya punda wake, na kuinama mbele ya Daudi hadi uso wake ukagusa chini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abigaili alipomwona Dawidi akashuka upesi katika punda wake, akajiangusha kifudifudi mbele ya Dawidi kumwangukia hapo chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo hapo Abigaili alipomwona Daudi, alifanya haraka kushuka juu ya punda wake, akamwangukia Daudi kifulifuli, akainama mpaka nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abigaili alipomwona tu Daudi, akashuka mara moja kutoka juu ya punda wake, na kuinama mbele ya Daudi mpaka uso wake ukagusa chini.