1 Samuel 25:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alijitupa miguuni pa Daudi na kumwambia, “Bwana wangu, hatia yote na iwe juu yangu tu. Nakuomba niongee nawe mimi mtumishi wako. Nakuomba usikilize maneno ya mtumishi wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwangukia miguuni pake na kusema: “Bwana wangu, kosa hili na liwe juu yangu mwenyewe. Tafadhali mruhusu mtumishi wako aseme nawe. Sikia kile mtumishi wako atakachosema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwangukia miguuni pake, akasema, Juu yangu, bwana wangu, juu yangu mimi na uwe uovu; tafadhali mjakazi wako na anene masikioni mwako, nawe uyasikilize maneno ya mjakazi wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alijitupa miguuni pa Daudi na kumwambia, “Bwana wangu, hatia yote na iwe juu yangu tu. Nakuomba niongee nawe mimi mtumishi wako. Nakuomba usikilize maneno ya mtumishi wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwangukia miguuni pake na kusema: “Bwana wangu, kosa hili na liwe juu yangu mwenyewe. Tafadhali mruhusu mtumishi wako aseme nawe. Sikia kile mtumishi wako atakachosema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwangukia miguuni pake na kusema: “Bwana wangu, kosa hili na liwe juu yangu mwenyewe. Tafadhali mruhusu mtumishi wako aseme nawe. Sikia kile mtumishi wako atakachosema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwangukia miguuni pake, akasema, Juu yangu, bwana wangu, juu yangu mimi na uwe uovu; tafadhali mjakazi wako na anene masikioni mwako, nawe uyasikilize maneno ya mjakazi wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alijitupa miguuni pa Daudi na kumwambia, “Bwana wangu, hatia yote na iwe juu yangu tu. Nakuomba niongee nawe mimi mtumishi wako. Nakuomba usikilize maneno ya mtumishi wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akasema na kumpigia magoti: Unilipishe mimi tu huo uovu, bwana wangu! Acha, kijakazi wako aseme masikioni pako, uyasikilize maneno ya kijakazi wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwangukia miguuni pake, akasema, Juu yangu, bwana wangu, juu yangu mimi na uwe uovu; tafadhali mjakazi wako na anene masikioni mwako, nawe uyasikilize maneno ya mjakazi wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alijitupa kwenye miguu ya Daudi na kumwambia: “Bwana wangu, kosa lote likuwe juu yangu tu. Ninakuomba niongee nawe mimi mujakazi wako. Ninakuomba usikilize maneno ya mujakazi wako.