1 Samuel 25:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana wangu, nakuomba upokee zawadi hii niliyokuletea, na uwape vijana wanaokufuata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nayo zawadi hii ambayo mtumishi wako amemletea bwana wangu, wapewe watu wanaofuatana nawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa zawadi hii, mjakazi wako aliyomletea bwana wangu, na wapewe vijana wamfuatao bwana wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana wangu, nakuomba upokee zawadi hii niliyokuletea, na uwape vijana wanaokufuata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nayo zawadi hii ambayo mtumishi wako amemletea bwana wangu, wapewe watu wanaofuatana nawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nayo zawadi hii ambayo mtumishi wako amemletea bwana wangu, wapewe watu wanaofuatana nawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa zawadi hii, mjakazi wako aliyomletea bwana wangu, na wapewe vijana wamfuatao bwana wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana wangu, nakuomba upokee zawadi hii niliyokuletea, na uwape vijana wanaokufuata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa matunzo haya, kijakazi wako anayomletea bwana wangu, na wapewe vijana wanaozifuata nyayo za bwana wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa zawadi hii, mjakazi wako aliyomletea bwana wangu, na wapewe vijana wamfuatao bwana wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bwana wangu, ninakuomba upokee zawadi hii niliyokuletea, na uwape vijana wanaokufuata.