1 Samuel 25:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakuomba unisamehe mimi mtumishi wako. Mwenyezi-Mungu atakupa jamaa imara kwa sababu, wewe bwana wangu, unapigana vita vya Mwenyezi-Mungu. Wakati wote wa maisha yako usipatikane na baa lolote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tafadhali samehe kosa la mtumishi wako, kwa kuwa Mwenyezi Mungu kwa hakika ataifanya imara nyumba ya ufalme kwa bwana wangu, kwa sababu anapigana vita vya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakuomba ulisamehe kosa lake mjakazi wako, kwa kuwa hakika Bwana atamfanyia bwana wangu nyumba iliyo imara, kwa sababu bwana wangu anavipiga vita vya Bwana; tena uovu hautaonekana ndani yako siku zako zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakuomba unisamehe mimi mtumishi wako. Mwenyezi-Mungu atakupa jamaa imara kwa sababu, wewe bwana wangu, unapigana vita vya Mwenyezi-Mungu. Wakati wote wa maisha yako usipatikane na baa lolote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tafadhali samehe kosa la mtumishi wako, kwa kuwa BWANA kwa hakika atafanya imara jamaa ya kifalme kwa bwana wangu, kwa sababu anapigana vita vya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tafadhali samehe kosa la mtumishi wako, kwa kuwa bwana kwa hakika ataifanya imara nyumba ya ufalme kwa bwana wangu, kwa sababu anapigana vita vya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nakuomba ulisamehe kosa lake mjakazi wako, kwa kuwa hakika BWANA atamfanyia bwana wangu nyumba iliyo imara, kwa sababu bwana wangu anavipiga vita vya BWANA; tena uovu hautaonekana ndani yako siku zako zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakuomba unisamehe mimi mtumishi wako. Mwenyezi-Mungu atakupa jamaa imara kwa sababu, wewe bwana wangu, unapigana vita vya Mwenyezi-Mungu. Wakati wote wa maisha yako usipatikane na baa lolote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwondolee kijakazi wako, kama amefanya kipotovu! Kwani Bwana atamtengenezea bwana wangu nyumba yenye nguvu, kwani bwana wangu anampigia Bwana vita, nayo mabaya hayaoneki kwako siku zako zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakuomba ulisamehe kosa lake mjakazi wako, kwa kuwa hakika BWANA atamfanyia bwana wangu nyumba iliyo imara, kwa sababu bwana wangu anavipiga vita vya BWANA; tena uovu hautaonekana ndani yako siku zako zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakuomba unisamehe mimi mujakazi wako. Yawe atakupa jamaa imara kwa sababu, wewe bwana wangu, unapigana vita ya Yawe. Wakati wote wa maisha yako usipatikane na ubaya wowote.