1 Samuel 25:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akamwambia Abigaili, “Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliyekutuma leo kukutana nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akamwambia Abigaili, “Ahimidiwe Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, aliyekutuma kunilaki leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi akamwambia Abigaili, Na ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye amekuleta hivi leo kunilaki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akamwambia Abigaili, “Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliyekutuma leo kukutana nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akamwambia Abigaili, “Ahimidiwe BWANA, Mungu wa Israeli aliyekutuma kunilaki leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akamwambia Abigaili, “Ahimidiwe bwana, Mungu wa Israeli aliyekutuma kunilaki leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Daudi akamwambia Abigaili, Na ahimidiwe BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye amekuleta hivi leo kunilaki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akamwambia Abigaili, “Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliyekutuma leo kukutana nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akamwambia Abigaili: Na atukuzwe Bwana Mungu wa Isiraeli aliyekutuma siku hii ya leo kukutana na mimi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Daudi akamwambia Abigaili, Na ahimidiwe BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye amekuleta hivi leo kunilaki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akamwambia Abigaili: “Atukuzwe Yawe, Mungu wa Israeli, aliyekutuma leo kukutana nami.